INFO:
MAGAZETI YA LEO – AZAM TV 06/ 02/ 2019: Channel Ten rasmi mali ya CCM, JPM aipa mamilioni akitaka ipasue anga bara lote Afrika. Kakobe atoboa siri...
MAGAZETI YA LEO – AZAM TV 06/ 02/ 2019: Channel Ten rasmi mali ya CCM, JPM aipa mamilioni akitaka ipasue anga bara lote Afrika. Kakobe atoboa siri kuiunga mkono Serikali.Ommy Dimpoz asimulia matibabu yake Ujerumani. Viwanja nane kuwaka moto ligi kuu leo.Vichwa hivi vya habari ni miongoni mwa  vile vilivyotikisa kurasa za magazeri ya leo. | Azam TV